Mkeki wa Birthday Gall huooooo
Leo ametimiza Miaka Saba Mtoto Tumekuza sasa Jamani God Help Her to are Good Gall till end of Thise World.
Puliza mishumaa mtoto si tuimbe kisha tule mkeki
Pimzi ilikuwa inamkata hakuweza kupuliza yote kwa pamoja.
Kata kaeki Tuleeee Kata Keki tuleeeee
Wakwanza kuliswa alikuwa ni Mama yake Mzazi
Wapili akawa ni Mama Mdogo Shufaa
Ikawa hivyo pia kwa alifuatia
Haya Mwalimu Nyembo nae Hakukosa pale Katika tukio Muhimu lile
Kwani ulidhani anatatizooo basiii wala hataaaaa
Kama kawa anagawa Keki tu
Wote apa ni VIP bana Haoijalishi Umri Dini Wala Kabira
Ustadhi nae alipata Keki
Mamjomba wake Deey Ikafika zam yake nae akapata Mjikeki wake
Mtoto Akawa nahamu na njaa pia ikamshika so Ilimlazimu Mama Mzazi Amlishe Mtoto Mdogo nae Alimlisha Mtoto kushow Love kwa Baby Gall Mchanga
Photo time sasa, Nikatikea na warembo
Usingizi ulumpata wa Ghafraaa chezea Hilo Venu weweeee
Deey na Mama Kichanga
Me cndo Bamdogo Peter bana
Hoply iko Poa na Hauta Jenga Chuki Pia
Ainea, Munira na Blogger Wako Dafi
Mwalimu Nyembo, Peter Dafi na Ainea
Birthday Patty ikawa imekwisha salama salmini na watu walifika makwao salama pia Tunamshukuru Mola kwa yote aliyojaalia kwa Sherehe hiyo.
Pia Tunamuombea Munila Afya ya Roho na Mwili kwa kila jambo, pia asome mpakaaaa....
Na aishi miaka Mingi zaidi ya wazee wa Kale
Post a Comment