Home » , » Papa Mpya apatikana kuwaongoza Wakatoliki

Papa Mpya apatikana kuwaongoza Wakatoliki

Written By peterdafi.blogspot.com on Wednesday, March 13, 2013 | 8:58 PM



Moshi mwepe, Papa mpya!
Hatimae Kanisa katoliki limempata kiongozi mpya atakaye chukuwa mahali Papa Benedict aliyejiuzuli.
Papa Mpya alichaguliwa katika duru ya tano ya upigaji kura uliofanywa na makadinali 115 waliokuwa wakikutana katika kanisa la Sistine Chapel huko Vatican , Roma.

Kwa wakati huu mbali na maelfu ya watu waliokusanyika eneo la St. Peters huko Vatican dunia nzima wanasubiri kujua jina la Papa mpya na ataamua kuchukuwa jina gani la Ki-Papa.


His Real name is JORGE MARIO BERGOGLIO of Argentina he has chose the name of Pope FRANCIS......
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger