Home » » Mh. Mwigulu Nchemba azidi Kujiuliza maswali Dhidi ya CHADEMA

Mh. Mwigulu Nchemba azidi Kujiuliza maswali Dhidi ya CHADEMA

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, November 25, 2013 | 7:20 PM

Nimejiuliza maswali ambayo watanzania wanapaswa kuyatafakari.
1) ZITTO ALIVITAKA VYAMA VYA SIASA KUKAGULIWA KWA MJIBU WA SHERIA YA NCHI WALA SIO SHERIA YA ZITTO. CHADEMA WAKAMVUA UONGOZI KWA KIGEZO KUWA HAKUWATONYA KUWA KAMATI YAKE ITAFANYA HIVYO ILI WAWEKE MAMBO SAWA. HIVI CHADEMA WANGEKUWA NA SERIKALI WANGEMFANYA NINI MDHIBITI NA MKAGUZI WA MAHESABU YA SERIKALI CAG MARA BAADA YA KUIKAGUA SERIKALI? KAMA MTU ALISHAURI TU CAG AKAGUE WALA SIO YEYE AMEKAGUA WAMEMVUA UONGOZI? WANGEMNYONGA MPAKA KUFA KWA KUKAGUA MAHESABU YA SERIKALI.

2) KAMA WATU WANAOTAFUTA UENYEKITI TU NDANI YA CHAMA TENA KWA KURA ANAITWA MHAINI, WAKAWAVUA UONGOZI. JE CHADEMA WANGEKUWA NA SERIKALI HALAFU CHAMA KINGINE KIKATAKA KUWAONDOA MADARAKANI WANGEWAITA NANI? WANGEWAFANYEJE? WANGEWANYONGA MPAKA KUFA. THESE ARE TYPICAL DICTATORS.
WALISEMA NCHI HAITATAWALIKA NAONA SASA CHAMA NDICHO HAKITAWALIKI. DEMOKRASIA JINA TU


 
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger