Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.
Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani, tulikwenda club tukatoka saa tisa na tukatembea kwa mguu mpaka tulipokua tumefikia.
January 2014 kupitia Dubai 1 TV, serikali ya nchi hii imetangaza kuweka AC kwenye vituo vyote vya basi ili kusaidia wasafiri mbalimbali kwenye kipindi cha majira ya joto, kipindi ambacho kinasifika kwa joto kubwa.
Huu ni muonekano wa nyuma wa vituo vyenyewe na vilivyowekewa AC.
Home »
» PICHA YA VITUO VYA MABASI DUBAI VIKIWA NA AC
Post a Comment