Home » » Oooopsss...... ! AJALI MBAYA YA GARI NA PIKI PIKI BARABARA YA CHALINZE SEGERA

Oooopsss...... ! AJALI MBAYA YA GARI NA PIKI PIKI BARABARA YA CHALINZE SEGERA

Written By peterdafi.blogspot.com on Wednesday, June 18, 2014 | 2:30 AM

Mwendesha pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS leo mchana. Mpiga picha wa tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali pamoja na kupima ajali.
(Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus) TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger