Home » » Dk Hamisi Kigwangalla Kutangaza Nia Yakugombea Urais 07 Sept 2014

Dk Hamisi Kigwangalla Kutangaza Nia Yakugombea Urais 07 Sept 2014

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, August 26, 2014 | 12:32 AM

Je! WAJUA?

Dk Hamisi Kigwangalla anatarajiwa Kutangaza nia yakugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 07/09/2014.

Kigwangalla ni Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ga Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Mbunge Huyo ametokea Kuwa Maarufu sana Kwa Uchapa kazi wake na Historia yake ya utendaji kazi na Upambanaji wa Kudai Haki za Wanyonge.

Lakini pia Ndie Mbunge Pekee aliewahi Kupigania na Kupeleka Muswada wa Ajira Kwa Vijana Bungeni na Mpaka Leo anapambana Kuhakikisha anatatua Tatizo la ajira Kwa Vijana.
Tarehe yakutangaza Nia ni Tarehe saba (07/Sept 2014)
Itakuwa ni Live ktk Media mbali mbali.

Mjuze na Mwenzio pindi upatapo taarifa hii kwani kuna Mengi zaidi yatasemwa Siku hiyo.

07 Sept 2014
#Urais2015HK

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger