Home » » Kijana Heri Hoza UVCCM Morogoro azungumzia Ziara ya Rais Jakaya Kikwete.

Kijana Heri Hoza UVCCM Morogoro azungumzia Ziara ya Rais Jakaya Kikwete.

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, August 25, 2014 | 7:45 AM

Muheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa na Ziara Mkoani Morogoro, Ziara iliyoambatana na Kufungua ama Kuzindua Miradi Mbalimbali ambayo no Irani ya CCM.

Huyu hapa Kijana Akizungumzia Ziara Hiyo.

"Maoni yangu kwa wadau wa Peter Dafi Blog

Kuhusu ziara ya mhe Rais Dr Jakaya Kikwete

Mkoani morogoro.

Ziara imekuwa ni nzuri na yenye mafanikio sana...

Zaidi ya miradi ishirini imeziinduliwa

Ikiwamo mirad ya
Maji
Umeme
Miundombinu n.k

Wananchi wamepokea kwa furaha sana na wameipongeza serikali kwa utekelezaj mzr wa ilani ya Chama cha Mapinduzi

Lakini pia

Ni wito wng kwa watanzania wote kwa sasa.

Tuwe wavumilivu
Wenye subira na staha
Kaatika kipindi hiki kigumu cha mchakato Wa katiba

Twende polepole kwa  maridhiano ya pamoja. Tutafikia mwwafaka

Asantte"

Alisema Heri Hoza Toka Morogoro.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger