Home » » M/Kiti CCM Mzee Mangula azidi kuongeza wanachama CCM toka CDM. (Picha zaidi)

M/Kiti CCM Mzee Mangula azidi kuongeza wanachama CCM toka CDM. (Picha zaidi)

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, September 15, 2014 | 11:11 PM

M/KITI WA KITONGOJI CHA KATETE KWA TIKETI YA CHADEMA
ALIEVALIA SHATI JEUPE AJIUZULU NAFASIYAKE NA KUKIHAMA CHAMAHICHO MBELE YA MAKAM M/KITI WA CCM TAIFA PICHA ZINAONESHA AKIRUDISHA KADI YA CDM NA AKIPEWA KADI YA CCM.
PIA KTK PICHA KATIBU MWENEZI WA CCM MKOA AKIFANYAKAZIKUBWA ILIYOWASIMAMISHA WATU WOTE NAKULA KIAPO CHA IMANI YA CCM.
MAJUMUISHO YA YOTE WILAYA YA MOMBA MPAKA SASA UKIFANYIKA UCHAGUZI LEO TUNA %75 YA USHINDI WA KATAZOTE 17.
TULICHO JIFUNZA NI MAAMUZI YEYOTE MAZITO NA MAGUMU NILAZIMA YAFANYIKE NA KIKAOCHAMWISHO CHA MAAMUZI NGAZI HUSIKA
MAAMUZI YA MWISHO KTK KATA YAFANYWE NA H/KUU YA KATA HUSIKA. KADHALIKA NA WILAYA NA MKOA NIVIVYO HIVYO.

MAMBO HAYA YAMETOKEA MOMBA JANA 

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger