Home » » Mkutano wa UWT Kipawa unaendelea chini ya Mwenyekiti UWT.

Mkutano wa UWT Kipawa unaendelea chini ya Mwenyekiti UWT.

Written By peterdafi.blogspot.com on Saturday, September 13, 2014 | 8:24 AM

CCM WOOTE lengo la leo ni Agizo toka makao makuu kuwa kila kata wafanye mikutano ya hadhara ni Jumuiya zote ni pashapasha tuu nakuimarisha umoja na mshikamamo  nakueleza mambo yaliofanyw na Ccm kuhimiza wanawake muda ukifika wajitokeze kwa Wingi kuchangia michakato ya Kijamii, Kiserikali na Hata Katiba,
nakuhimiza wanawawake wajitokeze kugombea nafasi mbali mbali.

Mkutano huu Umeandaliwa na kamati ya utekekezaji kata ya kipawa mgeni ni mkit Uwt mkoa mama Janeth masaburi

Na Mtopea kada alietoka chadema akiwabomoa chadema ktkvmkutano huu.

Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Dar es salam mama�� Masaburi  Mke wa Meya wa  jiji ndani ya viwanja vya CCM KIPAWA.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger