Katibu Mkuu Sixtus Mapunda Leo Amevunja Ngome ya CDM Songea, hii ni baada ya yakufanya Matembezi Kutoka Ofisi Kuu cha Chama Cha Mapinduzi Mkoa Ruvuma, Mpaka Mtaa wa Mjengo Songea Ambapo Amezindua Mashina ya Wakereketwa zaidi ya Matano nakuzungumza Na Wananchi wa Maeneno hayo, kisha Akatembea Mpaka Sehemu iitwayo Manzese Huko alifanya Mkutano Mkubwa Sana Wa hadhara ambapo Kata hiyo inashikiliwa na Diwani wa CDM.
Sixtus Mapunda Kawaambia Wananchi walikusanyika ktk Viwanja vya Manzese Kuwa CHADOMO Hawana Chakuwaeleza Watanzania Mwaka huu Na Waache tabia yao yakuuwa Watanzania Na Kuwafanya Watanzania ni Chambo kwa Kuwatuma kgk Maandano, Migomo nk... Ili Wapigwe wawapige Picha wapeleke Ulaya Kuuza wapewe Pesa nk....
Katibu Mkuu Kasema CCM ndio Chama Chanya Chenye Nia yakukupa Mafanikiwa Na Fulsa Tanzania, huwezi Linganisha Na CHADOMO wao Kazi yao kusema nakuhamasisha mambo ya Ajabu, kama Maandamano, Migomo, Fitna, uzushi, Uongo uongo Nk....
Lakini Chama cha Mapinduzi Kazi yake Nikuwafanyia Watanzania Maisha Chanya tu, Mashule, Hospitali, Barabara, Na Kila Hitaji lako Tanzania.
Mapunda Kaisambalatisha Kabisa CDM baada ya kusema Maneno Mengi Vijana, Wamama, Na Wazee Wakatia Nia Kuwa hawatoirudisha CDM kamwe Iringa.
Kwani Diwani wao Hajafanya Chochote ndani ya Kata Hiyo.
Hakika CCM ni Chama Makini sana.
Katibu Mkuu Aligawa Jezi Pia Kwa Baadhi ya Mashina Ambayo Yakipwa Jezi za Moira kutoka Kwa Mbunge wa Songea Mjini Mh Nchimbi Ambae Alimpatia Mapunda Jezi hizo ili Afikisha Kwa Vijana hao.
Pia Kwa Utamu wa Maneno aliyosema Kwa Wanamajengo wakampatia Na Zawadi ya Kuku ili Akafuge au Amle Nyama.
Kikubwa zaidi Kuna Shina la CDM Moja Limeuwawa Live Na Makada Vijana Wakalipiga Rangi ya CCM sasa Wamesilimu Chama nakurudi CCM.
Katibu Mkuu Ametumia Ziara yake Kuzindua Mashine, kugawa Tshert Na Mipira, Pia Wakumbusha Watanzania na Wanasongea Kuja Uwanja wa Majimaji Kesho Kusikiliza Na Kusherehekea MIAKA 38 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZU.
Mwaka huu Kauli Mbiu ni....
"UMOJA NI USHINDI"
KATIBA YETU,
NCHI YETU.
Matembezi hayo yametumia Zaidi ya Kilometa 13 Kwa Miguu Na Kisha kwenda kufunga na Kuagana Na Vijana Hao Ofisi ya CCM Mkoa.
Post a Comment