Home » » Mwizi Mmama Akamatwa kwakuiba ktk Vibanda vya M pesa.

Mwizi Mmama Akamatwa kwakuiba ktk Vibanda vya M pesa.

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, February 19, 2015 | 3:49 AM

Leo Hii tumemkamata tapeli anayewaibia wa mawakala wa M-Pesa,Baada ya kufanya uhalifu sehemu mbali mbali jijini dar,makachelo wetu waliingia mzigoni na kuanza kutrack.

Huyu Mama anaibaje?

Anatafuta mawakala wa M-pesa na kuji-introduce kwamba ni mfanyakazi wa vodacom na anaonyesha kitambulisho kabisa.Mbinu anayotumia ni kwamba anawaambia kuna usajiri mpya kutoka vodacom so ametumwa na manager wa vodacom kuja kuwafaamisha mawakal wao,kwahiyo ukimuamini na kushika simu yako umekwisha.

Ataanza ngoja nikuelekeze jinsi ya kusajiri,basi na wewe kichwa kichwa unaingiza password anaikaririr fasta then anahamisha pesa akishahamisha anakwambia zima simu kwa mda wa dakika 20 ili iji-update kwenye system,kumbe mda huo anautumia kuitoa sehemu nyingine.

Kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.

#ChanzoMitandaoYakijamii

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger