Mhe Makonda jana alifanya mkutano na Wenyeviti wote wa mitaa 197 na watendaji wa mitaa pamoja na wajumbe. Lengo la mkutano huo ni juu ya migogoro ya Ardhi. Mambo mengi yamebainika na kupelekea Mhe DC kuagiza ndani ya siku 20 kila mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wawe wamewasilisha idadi ya maeneo ya Wazi ktk mitaa yao na yale yaliyovamiwa kueleza hatua gani zimechukuliwa. Pili kumpa majina ya watu wote waliovamia maeneo ya shule,Hospitali na masoka na kujimilikisha bila taratibu. Na mwisho kabainisha shauku yake ya kila mwanakinondoni kuwa na HATI.
DC Makonda akizungumza viwanja vya Leaders Club
Mkuu wa Wilaya akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kumaliza Kuzungumza
DC makonda akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Wenyeviti wa wilaya ya Kinondoni wote.
Picha inayoonyeshawa waje baadhi wa Mkutano huo, hawa ni wenyeviti wote wa Wilaya ya Kinondoni.
Post a Comment