Home » , » HALI SI SHWALI JIJINI DAR....!!!!!! Ona Picha kulivyooooooo.......!!!!

HALI SI SHWALI JIJINI DAR....!!!!!! Ona Picha kulivyooooooo.......!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Friday, October 19, 2012 | 5:07 AM

 





Name:  A5kEJnvCMAAfACe.jpg large.jpeg
Views: 0
Size:  74.4 KBj

Mabomu na Risasi zinarindima Mjini DSM na Waislaam wanaonekana kutokutulia kabisaaaa..


Pia vurugu zimetokea kinondoni Maeneo ya Studio imeonekana watu wakiandamana na POLISI kuwadhibiti.
 

Pia Magomeni Usalama pale Msikitini walionekana waislaam wengi na POLISI waliwaamuru kutawanyika lakini hawakufanikiwa mpaka Mabomu yalipopiogwa ndo kukimbiana ikaanzas

Maeneo ya magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea kariakoo. kwa upande wa hapa magomeni msikiti wa kichangani wametulia baada ya ffu kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.
 





Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger