Waislam wameanza kuandamana mitaa ya Kariakoo na Askari wanawadhibiti so Mji umenuka kumechafuka sana, Mduka yote yamefungwa na Hakuna Huduma tena.
Mtanzania uliekuwan unampango wakuelekea maeneo hayo ya katikati ya mji kama K,koo nivema ukatulia tuu huko ulipo.
Pia watanzania nivema tukatulia nakuacha vurugu kwa hili kwani Machafuko kuanza ni ras=isi sana bt Kuyamaliza ni tatizo sana na ngumu sana.
Waislaam nivema wakawa wavumilivu wa mambo na HALI ITAKU8WA POA TU.
Helcopta ya Polisi na Magari ya polisi yanatembe kudhibiti hali chafu.
Post a Comment