Home » , » BREAKING NEWS...!! CHADEMA WAPASUKA VIBAYA VIBAYA

BREAKING NEWS...!! CHADEMA WAPASUKA VIBAYA VIBAYA

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, February 17, 2014 | 4:06 AM




Breaking news:--

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema
KIMEPASUKA vipande vipanda na pengine hiki ndicho KIFO
cha CDM.

Aliekuwa KATIBU wa Jimbo la UBUNGO Bwana ALLY
MAKWILLO na KATIBU kata wa KATA ya MANZESE Bwana
DOTTO MHANDO na KATIBU mwenezi Jimbo la UBUNGO
wamejiunga na Cuf leo hii.

Pia aliekuwa M/KITI wa Chadema Wilaya ya NACHINGWEA
Bwana Jodan Membe na KATIBU wa Wilaya ya
TANDAHIMBA wamejiunga na Cuf.

Hoja ya usaliti yazidi kukitafuna chadema Makwillo aeleza
mazito yaliyomo ndani ya chadema matumizi mabovu ya
pesa ubaguzi,udini ndio tatizo cdm.

Apanga kuzunguka Jimbo zima kueleza UDHAIFU wa
J.Mnyika asema mpaka sasa ni mwaka moja tu uliobaki
kabla ya uchaguzi Mnyika ametekeleza AHADI zake kwa
10% hivyo hakuna sababu ya kuendelea kumchagua
mbunge MUONGO.
 
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger