Home » » Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO Apata Ajali mbaya Na Watu 4 wapoteza Maisha

Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO Apata Ajali mbaya Na Watu 4 wapoteza Maisha

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, March 21, 2016 | 3:55 AM

Naibu waziri TAMISEMI Mh Selemani Jafo Amepata Ajali ktk Msafara wake huko Mapinga Magamoyo Baada ya Roli kugonga Magari Matatu yakiyokuwa mbele yake ktk Msafara Wake!

Na Waliofariki ni Maafisa toka Halmashauri ya Bagamoyo! Ni Watu WaNne 4 ambao wamefariki papo hapo na Majeruhi Zaidi ya Sita 6 ambao Wanakimbizwa Hospitali kwa Sasa!

Naibu waziri Yeye yuko Salama na Ndio anashulkia Kuokoa Miili hiyo pamoja na Hao Majeruhi.

Chanzo cha Ajali hii ni Uzembe wa Dereva wa Gari Dogo na Mtu wa Roli Kubwa Kuover Take ktk Mlima na Msafara ukiwa Unakuja Mbele licha yakuwa Tayali Mbele Gari ya Asali kuashiria Msafara unakuja lakini Madereva hawa Walitoka kuwahi na kusababisha Ajali ambayo imepoteza Uhai wa watu, Kuumiza watu nakuharibu Mali za Serikali nk...

Taarifa zaidi tutazipata hapo Punde.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger