Home » » Rais John Pombe Magufuli Afika Police Kuhakiki Siraha yake aina ya Bastora

Rais John Pombe Magufuli Afika Police Kuhakiki Siraha yake aina ya Bastora

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, March 21, 2016 | 5:01 AM

Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg John Pombe Magufuli Leo Mapema Amekwenda Kuhakiki Siraha yake aina ya Bastora.

Rais Amefanya Hivo ikiwa ni Kutekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa Ndugu Paul C. Makonda Kuhakikisha Kila Raia anaemiliki Siraha Hapa Jiji la Dar es salaam Wakazihakiki Siraha zao ili Zinukuliwe Kwa Uhakiki baada ya hapo Patakuwa na Msako Maalumu kwa ajili yakukamata wanaomiliki Siraha kinyume na Taratibu.

#HapaKaziTu

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger