Home » » Ugomvi wa Mapenzi waishia kwenye Gari

Ugomvi wa Mapenzi waishia kwenye Gari

Written By peterdafi.blogspot.com on Saturday, May 7, 2016 | 2:58 AM


Ugomvi wa kimapenzi wamalizikia kwenye gari

ImageRange Rover

Picha za 

Picha za gari lililokuwa na ujumbe wa kukasirisha uliochorowa katika gari hilo zimesambazwa mara elfu katika mtandao wa Twitter.

Gari hilo jeupe aina ya Range Rover Revere lenye bei ya pauni 75,000 lilionekana limeegeshwa karibu na Harrods magharibi mwa London na kuchorwa ujumbe wa kukasirisha kwa kile kilichoonekana kuwa mpenzi aliyedanganywa.

Gari hilo liliandikwa 'cheater' { mwongo} katika pande zote mbili za gari huku maneno ''Natamani angekuwa na thamani'' yakiandikwa katika madirisha ya gari hilo.

ImageRange Rover iliochorwa

Klo ambaye alipiga picha za gari hilo alisema kuwa alimuona mwanamke mmoja akilichora gari hilo,alikuwa kama aliye na wazimu.

'Hakuna mtu aliyejaribu kumzuia.Baadaye aliondoka.Maneno ''Its Over'' pia yaliandikwa kwenye gari hilo ikielezea kuisha kwa uhusiano wowote''.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger